October 2, 2021


SIMULIZI ya aliyepata fedha na kazi baada ya kuhangaika kwa muda


Ama kwa hakika pesa huwa sabuni ya roho na mtu yeyote anaye waza tofauti na msemo huu labda ana kasoro ama ni upungufu wa mawazo. Kulingana na kisa changu ama kwa hakika pesa ndicho kiini cha penzi katika ndoa zote na kwa wakati wowote. 

Mapenzi bila pesa nikama gari bila dereva kwani gari  halitaanza mwendo kabisa lazima dereva awe pale ndani na dereva yule ni pesa.

 Mke wangu alikuwa ni mtu mwaminifu miaka ya hapo awali kwani tuliishi kwa upendo wa aina yake hata majirani walitamania pakubwa mapenzi baina yangu na mke wangu kila mara.

Kila alipotaka kufanya jambo alitafuta ushauri wangu pia mimi nilimuuliza na hiyo ndoa yetu ilikuwa ya kuvutia ajabu. Nilikuwa nafanya vibarua ili kupata hela ambazo zilinisaidia kukimu mahitaji ya familia yangu. 

Mke wangu naye alifanya kazi ya kufulia mjomba mmoja tajiri katika mtaa mmoja wa kifahari wa Karen mjini Nairobi.

Maisha yalikuwa mema kwani licha ya kipato kidogo tulichokuwa tukipata furaha na upendo ilikuwa ndio msingi wa ndoa yetu. Baada ya siku kusonga mke wangu alianza kubadilika kwa kila hali.

 Alianza kupokea simu za kila mara usiku na kila nilipomuuliza alisema kuwa alikuwa akiwasiliana na tajiri wake kwa ajili ya kupanga kazi za udobi.

 Hilo halikuniingia akilini kama mume wake na nilifahamu fika kwamba mambo hayakuwa yanaenda kwa njia nzuri.Mambo yalizidi kuwa mabaya hata zaidi na hata kwa wakati mwingine akakwama kwa yule kalameni.

Alikaa juma moja bila ya kuja nyumbani na hapo nikakumbwa na msongo wa mawazo. Hii ilikuwa ishara kwamba alikuwa amefuata pesa za yule Kalameni wala sio penzi. Sikuwa na uwezo wa kwenda kwa boma la jama yule kuulizia aliko mke wangu kwani alikuwa na ulinzi mkali ajabu na hakuna yeyote aliyeingia kwake kwa urahisi hivo. 

Marafiki wangu tu ndio walioniambia kwamba alikuwa akionekana kila mara akiwa kwenye gari la tajiri yule wakienda kwenye ziara mbalimbali. Marafiki wangu walisema mimi kuwa mwanaume dhaifu kwani nilikuwa nimetwaliwa mke. 

Nilifahamu fika kwamba nisingeweza kushindana na ndovu kujisaidia kwani ningepasuka msamba. Nilimwelezea rafiki yangu Richard yale niliyokuwa napitia na hapo akaniambia kwamba angenipeleka kwa daktari Kiwanga ambaye angenisaidia kupata suluhisho na kuwa mke wangu angerudi nyumbani.

 Siku iliyofuatia nilifika katika ofisi za daktari Kiwanga na hapo alinihoji na kuniuliza kila nilichojua kuhusu Kalameni yule. Nilimwelezea yote na akasema kuwa angenisaidia kupata suluhu la maishani na kwamba mke wangu angerudi nyumbani baada ya siku tatu.

 Nilirudi nyumbani na kuwa na imani kwamba mke wangu angerejea kwani daktari Kiwanga alikuwa mtu mwenye ueledi na uwezo mkubwa wa kuwasaidia watu wengi kupata haki katika kila hali.

 Alikuwa amesaidia watu wengi ajabu na shida yangu ilikuwa ni ndogo sana kwake. Kwa kweli baada ya siku tatu hivi, nilipokuwa nimekaa sebuleni nikitazama taarifa ya habari, mlango ulibishwa na punde nilipoufungua mke wangu alianguka ndani ya nyumba akionekana kuwa mchovu ajabu.

Nilimpa muda akapumzika na akaomba msamaha. Sikuwa na budi bali nilimsamehe kama mke wangu wa ndoa. Kwa kweli daktari Kiwanga alikuwa ni mtu wa kutegemewa maishani kwa wakati wowote ule. 

Nilipata kazi nzuri baadaye na tangu siku ile maisha yetu yalikuwa mazuri kwani mke wangu hakuwahi tena siku nyingine kufanya tabia kama zile. Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile kaswende, kifafa na kisonono kwa muda wa siku tatu pekeee. Ana uwezo wa kukuwezesha kumaliza ndoto mbaya maishani ambazo hukukosesha usingizi kila mara.

 Ni mtu anayejali watu kwa hivyo iwapo una mambo yanayokukwaza ni jukumu lako kumtembelea ili kupata usaidizi kwa haraka kabla mambo yale hayajakulemea kivyovyote vile.


Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic