October 13, 2021


SIMULIZI ya aliyeimarisha biashara yake 


Ni lengo la kila mfanyabiashara kuona biashara yake inanawiri. Bishara inapoenda chini kwa wakati wowote humfanya mwenyewe kukosa imani na kazi ile na hata mara nyingi anaweza kuifunga na kujishugulisha na mambo ambayo yanaweza kumpatia kipato kando na biashara.

Niliishi mjini Nakuru ambapo nilikuwa nimefungua kibanda kidogo kwenye steji ya magari mjini Nakuru. Kando na kuwa kibanda ilikuwa ni kijihoteli kidogo ambapo lengo langu lilikuwa kupata madereva na abiria wa magari waliotaka kula lakini mambo yaliniendea mrama kwani kwa siku nilirudi nyumbani bila hata ya kufikisha faida niliyokuwa natarajia. 

Wahudumu hawa walienda kwenye migahawa ya wafanyibiashara wengine. Hali hii ilifanya vyakula vyangu kuharibika na mara kwa mara nilikuwa navimwaga kila mara.

 Hii haikuninifanya mimi kukata tamaa kwani niliendelea na biashara ile kwa matumaini kuwa hapo mwishowe bahati itaanguka upande wangu.

Mara kwa mara wateja walipita biashara yangu huku wakielekea kwa wapinzani wangu kwenye biashara. Nilikuwa kwenye mikakati nikufunga ile biashara kwani nilikuwa nimechoka na kila mara kubaki na chakula pale kwani hakuna hata yeyote aliyekuwa ana nunua. 

Hii ilinifanya nionekane kama mtu ambaye hakupika chakula kizuri licha ya kuwa na uwezo huo kwani nilikuwa nimesomea mambo ya upishi katika chuo kimoja mjini Nakuru.

Mara nyingi nilijiambia moyoni kwamba ule haukuwa wakati wangu kwani ilikuwa fursa nzuri ya wapinzani wangu kibiashara kubobea. Sikuwa na hela ambapo iwapo ningeifunga biashara ile ningeingilia katika masuala mengine ambayo ningejikimu nayo kimaisha.

 Muda ulikuwa ukisonga na kwa kweli nilianza kuwa na wazo la kuifunga kazi ile ya kupika vyakula pale kwenye kituo cha magari. Siku moja nilipokuwa nikienda kufungua kazi yangu nilipatana na muuzaji wa gazeti ambapo nilivutiwa na gazeti lile.

Kwenye gazeti nilipata kusoma kuhusu madaktari wa Kiwanga ambao walikuwa wamesaidia watu kadhaa kutoka katika hali zilizowakwaza hapo mwanzoni. 

Nilichukua fursa ile kuwapigia simu na nikashtuka kwani walikuwa na ofisi zao mjini Kericho mji ambao nilikuwa nafanyia biashara yangu iliyokuwa ikinipa tatizo. 

Walinitengea muda ili niweze kukutana nao ambapo hapo nilijua kwamba haingenigharimu nauli kwani walikuwa pale karibu tu mjini kulingana na walivyonielezea.

 Baada ya siku tano hivi nilifika ofisini mwao tayari kuwaambia yale yaliyokuwa yakinikumba kwa wakati ule. Nilielezea yote na mara walinishughulikia na kunipa hakikisho kwamba biashara yangu ile itaimarika na hata ningefungua hoteli kubwa pale mjini. 

Nilikuwa na imani kwamba mambo waliyoniambia huenda yangetimia kwani kulingana na shuhuda zao nilizosoma kwenye nakala ile walikuwa ni watu tajika kwenye suala zima la miti shamba. 

Baada ya siku tatu biashara yangu ilianza kuwavutia wateja hata zaidi.Nilifahamu fika kwamba mambo ambayo daktari Kiwanga alikuwa akiniambia yalikuwa yameanza kutimia.

 Baada ya wiki moja hivi nafasi ya wateja wangu haikuwa kabisa na hapo nikalazimishwa kutafuta nyumba kubwa hata zaidi kwa ni biashara ile ilikuwa imenawiri ajabu.

Mapato yalikuwa ni mengi ajabu. Niliweza kuajiri watu kumi walionisaidia kwani wateja walikuwa wakifurika kwenye hoteli yangu mpya. Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile kifafa, msukumo wa damu na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee.

Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic