HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa mtu ambaye atamtaja mchezaji mwenye uwezo kama Bangala atakuwa anampa milioni moja kila siku kwa kuwa anaamini ni moja ya wachezaji wazuri.
Pia Manara ameweka wazi kuwa moja ya timu ambayo imefungwa mara nyingi na mabao mengi na Yanga ni watani zao wa jadi Simba ikiwa imefungwa zaidi ya mabao milioni.








Huyu jamaa alistahili kuwa kwenye kundi la akina Masanja Mkandamizaji "Ze Comedy"
ReplyDeleteHuyu yuko hatua za mwisho kabisa za kupata uchizi. Mabao milioni? Hii simba itamuua huyu bwege, kila kukicha simba, hiyo mimba ya simba atazaa lini?
ReplyDeleteHuyu ni mwendawazimu mtarajiwa. Inaonekana Simba inamnyima sana usingizi
ReplyDeleteNaamini kutokana na alivo hayuko sawa na hakuna haja ya kujibiwa
ReplyDeleteAlipokuwa akiwasema Yanga hamkusema mnavyomsema sasa. Haji ni yuleyule domo ni lilelile na kukera ni vilevile. Jipangeni tu atawakera sana huyu
ReplyDeleteKile kipigo cha sita bila,tano bila na nne naona hakikukutosha mropokaji.fanya kazi yanga, ila tunajua ilipo furaha yako.punguza njaa
ReplyDeleteHabari za Lowasa na CCM naziona ndani ya Manara na Simba
ReplyDeleteManara Apambania ugali 😁😁 msimwamini sana