October 2, 2021

KIONGOZI Anthony Mavunde amebainisha kuwa Red Card, (kadi nyekundu) ambayo ilitolewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba ambayo alionyeshwa Anuary Jabir iliweza kuwaathiri kwa kuwa Dodoma Jiji walikuwa wanacheza pungufu.

Kwenye Mchezo huo wa ligi Simba iliweza kushinda bao 1-0 lilifungwa na Meddie Kagere huku Mavunde akibainisha kuwa Simba sio timu ya kutisha sana.

 

9 COMMENTS:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Wakija Yanga atoe ahadi tena ya pesa, anajifanya anawapenda Dodoma Jiji kumbe mnaa tu

    ReplyDelete
  3. Huyu hana akili, yeye si aliwalipa ili wawaumize wachezaji wa simba? Alitegemea wacheze rafu na wasiadhibiwe? Tunasubiri wakija yanga pia awalioe wapige vieiko, mpuuzi kabisa.

    ReplyDelete
  4. Timu ya kutisha ni yanga, maana imefanikiwa kuingia hatua ya makundi klabu bingwa Africa

    ReplyDelete
  5. Ukiwa kiongozi wa kitaifa ficha ushabiki wako usijiingize kichwa kichwa utatukanwa halafu uanze kusumbua watu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ungemwambia kwanza maneno haya Paul Makonda na Job Ndugai ningekuunga mkono

      Delete
  6. Ni jambo jema kuipa timu ya nymbani motisha. Ukipenda Yanga au Simba haina maana huwezi kupanda timu nyingine. Hii kauli ya kusema wamepewa hela waumize wachezaji wa Simba ni ya kiwango cha kibwetere, kwani mnapopewa nyinyi ni kwa kazi hiyo? Ushindi wenu imechangiwa na upungufu wa mchezaji mmoja, kiukweli hamna kitu!

    ReplyDelete
  7. Safi sana Mh. Mavunde umeonesha mfano Nyumbani kwanza

    ReplyDelete
  8. Utasubiri sana kuona kama gsm watatoa hela kwa mavunde ili awape motisha dodoma jiji waifunge yanga

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic