VIDEO:UWANJA WA YANGA KILE KIFUSI CHASAMBARATISHWA, HALI IPO HIVI KWA SASA KILE Kifusi ambacho kilikuwa katika Uwanja wa Kaunda ambao ni mali ya Yanga maeneo ya Jangwani sasa kimetawanywa ikiwa ni hatua ya maboresho ya Uwanja wa Kaunda kwa ajili ya matumizi ya Yanga. Hali yake kwa sasa ipo namna hii
mtaishia kusambaza vifusi kila mwaka
ReplyDeleteNa nyinyi mtaishia kutawanyika mitaani tu maana hamna hata sehemu ya kukutana na kujadiliana masuala yenu,machinga wamejazana hadi chooni
DeleteDhaa..hicho kidonge kinamtosha!
DeleteHahahahahahahah!!!!!!
Delete