October 12, 2021

NYOTA wa timu ya Twiga Stars, Fetty Desa ameweka wazi kuwa mashindano ya COSAFA yalikuwa magumu lakini wanamshuku Mungu kwa kuweza kuwa nao mpaka mwisho wa siku wakafanikiwa kutwaa taji hilo. Oktoba 11 timu ya Twiga Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Bakari Shime iliweza kurejea Tanzania na kupokewa na mashabiki pamoja na viongozi wa Serikali bada ya kurudi na taji la COSAFA ambalo walilitwaa nchini Afrika Kusini.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic