October 1, 2021


UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa wanahitaji kutwaa taji la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 baada ya kukosa taji hilo kwa muda mrefu.

 Mkuu wa Kitengo cha Habari Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wanahitahi taji la ligi na wapo tayari baada ya kulikosa kwa muda mrefu.

 Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa namba zinawabeba hivyo watapambana kufanya vizuri.

 

3 COMMENTS:

  1. Dalili zinaonekana kwa huu mtindo wa kugawa pesa ili timu za mikoani ziiimize simba kweli tunaona

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haya ya viongozi wa Yanga kuwaahidi wanachama wao na timu yao ya kuunga ndio tatizo. Ndio wanapelekea mpaka kununua mechi kulazimisha wasichokiweza uwanjani.

      Delete
  2. We acha hizo ndoto, timu imekaa muda mrefu kambini lakini bado hakuna muunganiko..

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic