January 23, 2014


Rais wa Barcelona, Sandro Rosells ametangaza kuachia ngazi katika klabu hiyo.


Rosells ametangaza kuachia ngazi kuachia ngazi kwenye kikao cha dharura cha bodi kilichofanyika leo jijini Barcelona.
Imeelezwa sababu za kuachia ngazi kwa Rosells kumetokana na sakata la uhamisho wa mshambuliaji Neymar kutoka Brazil.
Hivi karibuni, kumekuwa na taarifa zilitumika fedha nyingi zaidi ya ilivyotangazwa ili kumnasa Neymar kutoka Brazil.
Lakini mambo yakaenda kwa uficho hadi ilipojulikana na kusababisha kauli za kujikanganya kuanza kujitokeza.

Josep Maria Bartomeu sasa atachukua nafasi ya Rosells ambaye amechukua uamuzi ambao haukuwa umetegemewa hapo kabla.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic