August 9, 2014


Wachambuzi mbalimbali wa masuala ya soka wa nchini England wamemshukia Kocha wa Chelsea Jose Mourinho  na kumuambia kwa kikosi alichonacho sasa, suala la ubingwa halitakuwa na mjadala kwake.
Wachambuzi hao kama Jammie Redknapp, Jammie Carragher na wengine wamesema Mourionho ana kikosi imara zaidi.
Wamesisitiza iwapo atakosa ubingwa, hatakuwa na sababu hata chembe ya kulalama au kusema ilichangia yeye kutotwaa ubingwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic