Klabu ya Detroit Pistons imemtema Hasheem Thabeet.
Pistons
inayoshiriki NBA, imemtema Mtanzania huyo ambaye ilimchukua kutoka Oklahoma
City Thunder kwa mkataba usio gerentii.
Pamoja
na Hasheem Pistons imewatema mshambuliaji Brian Cook, mlinzi Josh Bostic na Lorenzo
Brown.
Tayari
Pistons ina wachezaji 16 wakati ni 15 tu wanaotakiwa kwa ajili ya NBA.
Bado
hazijaelezwa sababu maalum za kufanya hivyo, ingawa mitandao mingi imekuwa
ikilizungumzia suala hilo la Hasheem.
0 COMMENTS:
Post a Comment