Mchezaji Bora wa Afrika, Yaya Toure amefunga mabao mawili wakati Man City ikifungua pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2015-16, kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Wes Brom.
Licha ya Wes Brom kuwa nyumbani, imeshindwa kuhimili vishindo hivyo vya City iliyokuwa ugenini. Bao la tatu lilifungwa na nahodha, Vicent Kompany.
VIKOSI:
West
Brom: Myhill, Chester, Dawson, Lescott, Brunt, Morrison, Gardner,
Fletcher, McClean, Lambert, Berahino.
Subs: Olsson, Yacob, Ideye, Anichebe, McManaman, Sessegnon, Rose.
Subs: Olsson, Yacob, Ideye, Anichebe, McManaman, Sessegnon, Rose.
Man
City: Hart, Sagna, Kompany, Mangala, Kolarov, Toure, Fernandinho,
Jesus Navas, Silva, Sterling, Bony.
Subs: Zabaleta, Nasri, Aguero, Caballero, Demichelis, Denayer, Iheanacho.
Subs: Zabaleta, Nasri, Aguero, Caballero, Demichelis, Denayer, Iheanacho.
Referee: Mike
Dean (Wirral)
0 COMMENTS:
Post a Comment