Mwanadada maarufu, Kim
Kardashian ambaye ni mke wa msanii wa maaufu wa hip hop, Kanye
West amezua gumzo kutokana na kivazi chake kikiwa kinaonyesha ujauzito wake.
Kim
alimua kukatisga katika mitaa ya Barneys New York jijini Beverly Hills na
kusababisha watu wengi wakipiga picha lakini yeye alionekana hana habari na
kuendelea kufanya manunuzi
Taarifa zinaeleza, ujauzito huo wa
pili wa Kim mwenye miaka 34 umefikisha miezi sita.
0 COMMENTS:
Post a Comment