May 29, 2016

 Kikundi cha Taifa Stars Supporters tayari kipo jijini Nairobi, Kenya kuiunga mkono timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

Memba wa kikundi hicho watawaongoza mashabiki leo kwenye Uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi itakapokuwa ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya.

Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ya upinzani kutokana na historia kisoka kati ya nchi hizi mbili na kikundi hicho cha kujitolea kimezidi kuonyesha moyo wa uzalendo kupitia memba wake.



1 COMMENTS:

  1. I give praise to Mr Benjamin enough for his help in securing a loan to buy our new home for our family. Benjamin was a wealth of information and he helped educate me and my family as to why a home loan was the best option for our particular situation. After conferring with Benjamin and our financial advisor everyone agreed that a home loan was the perfect solution.You can contact Mr Benjamin if you also looking for any kind of loan on Email/Whatsapp: 247officedept@gmail.com Whatsapp: +1-989-394-3740

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic