Baada ya maneno mengii, sasa hakuna mjadala kuwa N’Golo Kante ni mali ya Chelsea.
Kiungo huyo aliyeisaidia Leicester City kubeba ubingwa, amejiunga na Chelsea kwa day la pauni million 30 na mwenye amethibitisha akisema kujiunga na klabu hiyo ni sehemu ya kutimiza ndoto zake.
0 COMMENTS:
Post a Comment