CHANONGO KASAINI MTIBWA SUGAR IKIWA NI SIKU KADHAA BAADA YA KUSAINI STAND UNITED ILIYOKATALIWA NA TFF Haruna Chanongo amejiunga na Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka miwili. Awali alisaini Stand United upande wa kampuni, hata hivyo tayari TFF imetangaza kutoutambua upande huo na mchezaji huyo, rasmi leo amejiunga na Mtibwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment