Kikosi cha Yanga kimetua salama jijini Mwanza tayari kuwavaa Toto African wikieni.
Yanga imeondoka alfajiri jijini Dar es Salaam kwa ndege na sasa kikosi hicho kipi jijini humo.
Yanga iko katika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 15 baada ya kucheza mechi nane za Ligi kuu Bara.
Kikosi hicho chini ya Kocha Hans van der Pluijm, tayari kimepoteza mchezo mmoja dhidi ya Stand United.
0 COMMENTS:
Post a Comment