IZU (KUSHOTO) AKIWA NA WACHEZAJI WENZAKE WA SHOOTING |
Beki wa Shooting Stars, Izu Joseph ameuwawa kwa risasi katika mji mdogo wa Bayelsa nchini NIgeria.
Izu alikuwa Bayelsa, ambaio ni jimbo alilozaliwa kwa ajili ya mapumziko mafupi.
Beki huyo aliyekuwa tegemeo katika kikosi cha Shooting, alipigwa risasi na askari polisi lakini kwa bahati mbaya ikielezwa kulikuwa na mapambano kati ya askari na magaidi.
Nigeria ni kati ya nchi tatu za Afrika zinazoongoza kwa vifo vya wanasoka kutokana na risasi.
0 COMMENTS:
Post a Comment