April 11, 2013



Baada ya tafrani la wiki kadhaa, hatimaye kiungo Mwinyi Kazimoto na mshambuliaji felix Sunzu wameanza mazoezi Simba leo.

Sunzu na Kazimoto walikuwepo katika mazoezi ya Simba yaliyofanyika asubuhi kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Salaam chini ya Makocha, Patrick Liewig na msaidizi wake Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.



Kazimoto na Sunzu waliondolewa kwenye mazoezi ya Simba kwa tuhuma za utovu wa nidhamu, jana waliokuwa wakifanya mazoezi na wenzao kwa juhudi kubwa.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic