ANGALIA PICHA 10 ZA BAO ALILOFUNGA CHANONGO DHIDI YA MGAMBO, UNAWEZA KULIFANANISHA NA YALE YA LIONEL MESSI 1. Chanongo anauwahi mpira.. 2. Anaanza kuchanja mbuga.. 3. Safari.. 4. Kama anapunguza mwendo.. 5.Anaanza tena safari.. 6. Anaingia kwenye 18.. 7. Anamfinya beki.. 8. Anaizungusha.. 9. Wayaaaa... 10. Nyavu zimetikisika, yeye anakimbia katika kibendera..
0 COMMENTS:
Post a Comment