![]() |
| Beki wa Taswa akiosha mbele ya bondia wa uzito wa juu, Mchumiatumbo.. |
![]() |
| Sufian aka Sufiani Mafoto akimfinya mtu mbele ya kadamnasi... |
![]() |
| Kipa wa mabondia...dah! |
![]() |
| Beki wa kulia wa Taswa FC, Elius Kambili 'Ntu' akiambaa na mpira... |
![]() |
| Juma Ramadhani akimthibiti mshambuliaji wa Mabondia |
![]() |
| Benchi la Taswa na mwalimu wao Ally Mkongwe mwenye shati nyekundu |
![]() |
| Taswa wanapasha, Majuto Omary bonge na mvivu.. |
![]() |
| Zahoro Mlanzi akitambaa na chaki.. |
![]() |
| Kikosi cha mauaji cha Taswa FC |
















0 COMMENTS:
Post a Comment