FULL TIME:
Dk 85-89 hakuna mashambulizi ya maana na timu
zinaonekana kuridhika na sare.
Dk 82 shuti kali na nizar la mguu la mguu wa
kushoto linagonga mwamba na kipa kado anawahi na kudaka baada ya mpira kurudi
uwanjani.
Dk 79 cannavaro anafanya kazi ya ziada kuokoa mpira
uliokuwa unaelekea kuvuka mstari baada ya kipa said kutoka langoni na razak
kupiga shuti kali.
Dk 72-74 timu zote zinaonekana kuridhika na sare na
kupiga pasi nyingi katikati ya uwanja.
Dk 67 anatoka mguli anaingia niyonzima, anatoka bahanuzi
anaingia banda.
Dk 66 anatoka kisambale anaingia mahmoud soud
upande wa coastal
Dk 63, bahanuzi anainyika Yanga bao baada ya kubaki
yeye na kado kutokana na mpira alioutema kipa huyo baada ya shuti kali la nizar
Dk 58 coastal wanashambulia kwa kasi, lakini shuti
la mwisho alilopiga selembe linapaa juu ya lango la yanga.
DK 54 kado anafanya kazi ya ziada kuokoa mpira wa
kichwa uliokuwa unajaa wavuni baaa ya kupigwa na twite.
Dk 46 kipindi cha pili kimeanza.
HALF TIME:
Dk 42, Oscar anapiga krosi saaafi lakini bahanuzi
badala ya kufunga anaokoa.
Dk 31 Lyanga anapiga shuti linapita juu kidogo ya
lango la Yanga
Dk 24 Yanga wanafanya shambulizi kali lakini shuti
la Bahanuzi linaishia mikononi mwa Kado
GOOOOOO..Dk 4 tegeta anaifungia bao baada ya kupata
pasi nzuri ndefu na kukimbia na mpira katika ya uwanja hadi golini, anamchambua
Shabani Kado na kufunga.
Dk 1 Pius Kisambale anapoteza nafasi kwa Coastal
YANGA
Said, twite, osacar, cannavaro, yondaninurdin,
nizar, domayo, bahanuzi, tegete na abdallah mguli.
COASTAL
Kado, hamad hamis, Philip mugenzi, Othman tamim,
yusuf chuma, abdi banda, joseph mahundi, razack khalfan, seleman kassim ‘selembe’,
pius kisambale na danny lyanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment