May 7, 2013

Malkia wa Nyuki na Mkurugenzi wa NSSF, Dk Ramadhani Dau wakiwa katika Dimba la Stadium of Light wakati Sunderland ilipocheza na Stoke City, leo. Mechi hiyo ilimalizika kwa sare ya bao 1-1 huku wenye Sunderland wakilazimika kusawazisha kupitia John O'shea wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao Gardner kulambwa kadi nyekundu...


Makamu wa Pili wa Rais TFF, Ramadhani Nassib, Cresentius Magori nao ndani...

Malkia na Nassib...

Malkia na binti yake Fatma 'Nyuki mdogo' karibu na benchi la Sunderland alilokaa kocha mwenye vituko Roberto Di Canio, hii ilikuwa ni kabla ya mechi hiyo ya leo. Picha zinazofuatia ni namna Sunderland walivyopambana katika mechi hiyo ya Ligi Kuu England iliyomalizika kwa sare na Sunderland kufanikiwa kufikisha pointi 38 sawa na Newcastle na Norwich.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic