TFF wametangaza viingilio vya mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga ambao watafunga msimu.
Viti vya kijani ambavyo vinakuwa ni juu kabisa kiingilio chake ni Sh 5,000 wakati viti vya bluu ni Sh 7000.
VIP C ni Sh 15,000, VIP B 20,000 na VIP A ni Sh 30,000 na ndiyo kiingilio kikubwa zaidi katika mechi hiyo ya mwisho ya kufunga msimu.
Katika mechi ya mzunguko wa kwanza ambayo ilimalizika kwa sare ya bao 1-1, viingilio vyote vilikuwa vinalingana na hivi.
BONIFACE WAMBURA
MSEMAJI TFF
0 COMMENTS:
Post a Comment