June 3, 2013


 Fred akiifungia Brazil bao la kuongoza.
 Rooney akifunga bao la pili kwa England.
 Paulinho akiisawazishia Brazil bao la pili.
 Oxlade-Chamberlain akipiga shuti na kuiandikia England bao la kwanza.

Timu za Tiafa za Brazil na Engalnd jana zilishindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya mabao 2-2. Mabao ya England yalifungwa na Oxlade-Chamberlain (67) na Rooney (79) wakati ya Brazil yakiwekwa kimiani na  Fred (57) pamoja na  Paulinho (82). Mechi hiyo ilipigwa katika Uwanja wa Maracana chini Brazil.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic