Beki wa Chelsea, David Luiz amekubali kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kurekebisha pua yake.
Hata hivyo Luiz amesema atafantiwa upasuaji huio hadi atajapomaliza michuano ya Kombe la Mabara inayoendelea nchini Brazil.
Luiz amechukua uamuzi huo ili apate nafasi ya kuendelea kuisaidia timu yake ya taifa inayowania kutwaa Kombe la Mabara kwa kuwa linafanyika nyumbani.
Aliumia baada ya kugongana na mshambuliaji wa Mexico katika mechi ya michuano hiyo ambayo Brazil iliibuka kwa ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Neymar na Jo.
0 COMMENTS:
Post a Comment