June 22, 2013



 Chelsea imeingia mkataba mnono na wa miaka 10 na wadhamini wake kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas.

Ingawa thamani ya mkataba huo haijawekwa wazi, lakini imeelezwa utakuwa na thamani kubwa kuliko ule wa Samsung ambao Chelsea hupokea milio 18 kwa msimu.

Mkataba huo sasa utamalizika mwaka 2023 na unaingia kwenye rekodi ya moja ya mikataba mirefu kati ya klabu na wadhamini.

Mkurugenzi wa Chelsea, Ron Gourlay amesema wanaamini uamuzi wao huo wa kuongeza mkataba hadi 2023 uko sahihi na utafaidisha kila upande.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic