GARI HII HAPA UJERUMANI IMENITIA WAZIMU::AAAH Mwaliko niliopata ni wa masuala za soka, lakini nikiona magari nachanganzikiwa, haka hata si bei kubwa, sema ukikaleta bongo unaonekana fisadi, sijui nibaki Ujerumani halafu nikanunue.
0 COMMENTS:
Post a Comment