June 24, 2013



 
Michuano ya Kombe la Mabara sasa imefikia patamu, tena patamu hasa kwa kuwa nusu fainali zote mbili ni kama fainali.
Timu za Ulaya kwa Ulaya, halafu Amerika Kusini pia kivyao kwa kuwa Brazil wataivaa Uruguay.
Hispania wana kazi na Italia ambayo ina hofu ya kumkosa Mario Balotelli.
Brazil na Uruguay ndiyo wataanza kazi Alhamisi, halafu Ijumaa ni Hispania na Italia.
Maana yake hakuna ubishi kwamba fainali ya michuano hiyo itakutanisha timu kutoka mabara mawili, Ulaya na Amerika Kusini.

JUMATANO:
Brazil Vs Uruguay
ALHAMISI:
Spain Vs Italy

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic