June 2, 2013

 
WAKATI wachezaji wenzake wa Arsenal, Theo Walcott na Alex Oxlade-Chamberlain wakiwa jijini Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya majukumu ya timu ya taifa ya England, kiungo wa klabu hiyo, Jack WIlshere ameelekeza nguvu zake kwenye mapishi.

Wilshere amepigwa picha akiwa amevaa mavazi ya upishi na akiifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa. Kwa sasa yupo nje akiuguza majeraha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic