MOROCCO 2, STARS 1 Taifa Stars jana imelala 2-1 dhidi ya Morocco kwenye mechi ya kufuzu kucheza Fainali za Kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil. Mechi hiyo imechezwa Morocco na bao la Stars limefungwa na Amri Kiemba.
0 COMMENTS:
Post a Comment