June 2, 2013




Timu ya wachezaji wa zamani wa Real Madrid wamewafunga wakongwe wenzao wa Manchester United mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester, leo.

Bao la Man United limefungwa na Van Nistelrooy katika dakika ya 67, wakati yale ya Madrid yamefungwa na Morientes dakika ya 40 na De La Red (84).

Kikosi cha United kilikuwa hivi: Van Der Gouw, Martin, Irwin, Johnsen, Stam, Van Nistelrooy, Scholes, Fortune, Blomqvist, Cole, Yorke

Rea Madrid: Sanchez, Pavon, Helguera, McManaman, Amavisca, Sanz, Hierro, Vazquez, Zidane, Morientes, De La Red.

Katika mechi hiyo pia, kocha wa zamani wa Man United, Alex Ferguson pia alikuwepo uwanjani ambapo alipata shangwe nyingi

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic