June 17, 2013





MATOKEO MECHI ZILIZOPITA:
Game 1: Miami 88-92 San Antonio
Game 2: Miami 103-84 San Antonio
Game 3: San Antonio 113-77 Miami
Game 4: San Antonio 93-109 Miami
Game 5: San Antonio 114-104 Miami



MECHI ZILIZOBAKI:
Zinakuwa mechi mbili hasa kama Miami watashinda mechi ya sita, kama watapoteza, basi maana yake Spurs watakuwa mabingwa.

Hivyo mchezo wa saba, utakuwepo tu iwapo Miami watashinda mchezo huo wa sita.


Game 6: Miami v San Antonio, Juni 19
Game 7*: Miami v San Antonio, June 21
(*IKIWEZEKANA)
San Antonio wanaongoza kwa 3-2

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic