Sergio
Ramos wa Real Madrid, pamoja na kuwa na uwezo mkubwa katika safu ya ulinzi
lakini mara nyingi haishi vituko.
Hivi
karibuni amerejea katika kikosi cha Madrid akitokea Marekani mapumzikoni akiwa
ameonyoa tofauti ilivyozoeleka.
Pamoja na
kunyoa tofauti, safari hii Ramos ameweka rangi katika nywele zake, hali
iliyosababisha wachezaji wengi kumtania kwa kuwa kawaida ni mtu anayependa mashala
sana nje ya uwanja.
0 COMMENTS:
Post a Comment