Beckham na Iker Casillas. |
KIUNGO wa zamani wa Real Madrid,
David Beckham leo alikuwa mgeni katika kambi ya klabu hiyo ambayo kwa sasa ipo
Los Angeles nchini Marekani ikijifua kwa ajili ya msimu mpya wa 2013/2014.
Beckham na Kaka. |
Beckham alipata nafasi ya kupiga
stori na wachezaji kadhaa wa timu hiyo pamoja na memba wengine wa Madrid
wakiwemo ambao alicheza nao kipindi hicho alipokuwa klabuni hapo mwaka 2003
mpaka 2007.
Beckham mwenye mri wa miaka 38 kwa
sasa amestaafu soka na anafanya kazi zake nyingine binafsi.
Beckham na Sergio Ramos. |
0 COMMENTS:
Post a Comment