Yaya Sanogo akiwa mazoezini. |
Dogo ambaye
amesajiliwa kwenye kikosi cha Arsenal msimu huu, Yaya Sanogo pamoja na kiungo
mzoefu, Santi Cazorla, leo walianza mazoezi kwenye kikosi cha timu hiyo.
Santi Cazorla akifanaya mazoezi. |
Sanogo, 20,
ambaye alikuwa akiichezea Auxerre ya Ufaransa anatazamiwa kufanya makubwa miaka
ya baadaye klabuni hapo na jukumu lake la kwanza ni kukipiga kwenye michuano ya
Kombe la Emirates ambayo inaandaliwa na klabu yake.
0 COMMENTS:
Post a Comment