July 3, 2013






Beki nyota wa Chelsea, David Luiz ametupia kwenye mtandao picha zinazoonyesha akiwa katika kitanda cha hospitali, dakika chache kabla ya kupasuliwa pua yake.


Pua yake inatakiwa kufanyiwa marekebisho baada ya kuvunjika katika mechi ya Kombe la Mabara wakati Brazil ilipokuwa inaivaa Mexico, wiki mbili zilizopita.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, Luiz alituma picha na kueleza kwamba wakati wa upasuaji ulikuwa umewasili na kusisitiza kuwa yuko katika hatua za mwisho kabla ya kuanza upasuaji.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic