September 24, 2020


 


UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo kwa sasa ni kushindana na timu kubwa ndani ya Afrika huku ukisema kuwa masuala mengi ambayo yamefanywa na watani zao wa jadi, Yanga walishayafanya wao pia nyuma.


Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ameyasema hayo leo Septemba 24 alipofanya ziara ndani ya Global Group ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra alipokuwa akizungumza na Watanzania kupitia +255 Global Radio.


Manara amesema“Walichokifanya Yanga SC kuhusu kufungua duka la jezi sisi tulishafanya miaka minne iliyopita, sisi tuna malengo makubwa sasa hivi na tuko mbali sana, duka sio ishu kwetu.

 

“Sisi tunashindana na Al Ahly na Casablanca FC kwenye mitandao ya kijamii, unatulinganishaje na Yanga SC? Chukua akaunti yetu ya Instagram, linganisha na ya kwao, chukua akaunti yao rasmi, viongozi na akaunti za wachezaji wao hawatufikii." 

24 COMMENTS:

  1. Sijaona alichokisema chenye maana hata kuandikwa kwenye blog. Wanashindana na Al Ahl mtandaoni badala ya uwanjani? Hilo duka lao liko wap?

    ReplyDelete
    Replies
    1. 🤫🤫 funga mdomo ewe utopolo, mambo hyo tushapita kitambo. Uwanjani huoni tunapambaba Hadi robo sasa tunawaza kuvuka hpo kimafanikio. Sasa ww bdo unawaza kuunda miundo mbalimbali ya bilauzi kuwavalisha wachezaji na mashabiki wenu.

      Delete
    2. Alichokisema manara Ni uongo kwn?
      Kama huna kakuchangia kalale

      Delete
    3. Kwan hiyo robo bado unaiwaza? Mwaka jana mlifika wapi? Mwehu kabisa wewe; yaani unajidanganya ww na mikia wenzako kujilinganisha na Al Ahly kweli? Ama hakika Manara kawaroga vibaya sana. Mmelishwa hnga wa ndere bila kujijua

      Delete
    4. Utopolo bdo hajaelimiks mtaishia kuvalishwa pampers tu, ubingwa msahau

      Delete
    5. Anaongea mvuke tu..hehehe... mtandaoni? Midomo mirefu lazima uongoze mitandaoni badala ya uwanjani?

      Delete
    6. Ni kweli kabisa! Alichosema ni takataka, CRAP! Kama mlevi fulani hivi! Duka la Simba lipo wapi? Katika ofisi za METL? Hivi makao makuu ya Simba hivi sasa yako wapi?

      Delete
  2. ambacho hukijui ni kwamba kipindi cha kina Aveva simba walishafungua duka la kuuza vifaa vya simbaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa kama walifunga wao wanapondaje sisi kuwa na duka?

      Delete
  3. Simba wapo juu sana Utopolo tumewaacha mbali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mikia mpo mbali kwa kukopwa timu na Mo na kuwaziba mdomo kwa kuwanunulia mechi? Kama mjanja kweli alipe 20 Bilioni tuone.

      Delete
    2. Hivi ile mechi nyie nyani mliopigwa 4g mlituuzia shs ngapi?

      Delete
  4. Simba wapo juu sana Utopolo tumewaacha mbali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wametuacha mbali kivipi? Huna hoja kabisa kumbe

      Delete
  5. Haji manara hana mbele wara, nyuma tushagampa jina chizi wa jiji

    ReplyDelete
  6. Duka la vifaa vya michezo au frame ya nguo za michezo...85% jezi...acheni utani!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sorry nilikuwa na maana mikia uzi (iliyokonda)

      Delete
    2. Utopolo manji aliwalewesha sana mpaka sasa kilevi hakijaisha,poleni sana.

      Delete
  7. yanga washindane na lipuli singida na gwambina sio simba halafu mashabiki wa yanga msilazimishe et tuko sawa na ninyi usifosi pambaneni na hali zenu

    ReplyDelete
  8. Nyie mnabishana na YANGA AFILIKA hao kazi kufilika mlikuwa hamjui

    ReplyDelete
  9. Hongera manara kwa kuolewa na mwamedi...naona couple iko vizuri mpaka mshawapagawisha mashabiki

    ReplyDelete
    Replies
    1. GSM alishawaoa kitambo mpaka mnambeba kiongozi wa BWANA wenu, kweli utopolo Ni make mwema.

      Delete
    2. Ukioa utopolo umepata mke mwema

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic