December 7, 2020


 UONGOZI wa Ruvu Shooting mesema kuwa licha ya kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, jana Desemaba 6 bado wapinzani wake wanapata tabu kwenye umiliki wa mpira pamoja na kusaka ushindi jambo litakalowafanya wasifike mbali.


Mchezo huo ambao ulikuwa ni wa mbinu na burudani ulichezwa Uwanja wa Mkapa ambapo mashabiki wa Yanga walijitokeza kushuhudia namna Ruvu inavyonyooshwa huku na wale wa Ruvu walijitokeza kuona namna pira gwaride litakavyopigwa kwa Mkapa.


Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa ameshangazwa na aina ya matokeo kwa kuwa walijipanga kushinda tangu awali ila kilichotokea ni sawa na hadhithi ya Yuda.


"Labda ninaweza kusema kwamba kwa namna ambavyo wapinzani wetu Yanga wamepata ushindi inaonekana kuna shida kidogo hasa ndani ya uwanja, licha ya kwamba wametushinda bado safari yao ina matatizo huko wanakokwenda.


"Ninafananisha na gari ambalo breki yake haifanyi kazi vizuri ukikanyanga kwa mguu sasa lazima utumie mkono ili kuweza kuisimamisha gari, kwa safari ya namna hii hakuna kitakachoweza kuwa salama labda sijui iweje.


"Kushindwa kwetu ninafananisha na habari ya Yuda kwa kweli sijui habari ya Yuda ipoje ila ukiitafuta na kujua namna hadithi yake ilivyo utajua tu," amesema.


Yanga imejikita kileleni ikiwa imecheza mechi 14 bila kupoteza na ina pointi 34, Ruvu Shooting ipo nafasi ya nne na pointi zake ni 23.

26 COMMENTS:

  1. Breki ya nini kwani tumeshafika?

    ReplyDelete
  2. Sasa unategemea nini kocha wenu shabiki lia lia wa yanga. Mwanachama hai ni agent wa yanga?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna goli walilofungwa kizembe? Bocco ndo ruvushooting damu damu maana alijikosesha penalties na timu kufungwa

      Delete
  3. Anaanzisha mfumo mpya kwa yanga, wachezaji hasa mabekiwanawatengenezea nafasi upotolo wafunge

    ReplyDelete
  4. Replies
    1. Yes, Yanga hiyoo inapaa. Mikia kulalama kodo

      Delete
  5. Hukujua kwamba mkwasa ni yanga tosha masau kubari matokeo acha mbwembwe zako hiyo team kubwa haifungwi kizembe.

    ReplyDelete
  6. Yuda Ni mkwasa *kwa mtindo huu utopolo hamfiki popote kushinda kwa maarifa yakijinga wakati uwezo Hamna uwanjani* ndo maana kikwete rais mstaafu kila anapokutana nanyi huwachana makavu, ushindi wenu Ni wamaarifa ya nje ya uwanja kuhonga marefa na magoli kipa nandiyo sababu kimataifa utopolo nisifuri kabisa. Kumbe huu ukiazi utopolo upo kwa mashabiki,viongozi,wanachama Hadi makocha wenu wazawa mnaakili zakiutoplo mtupu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole sana ndugu.Ukiona huna cha kuandika,tulia nyumbani usindike chochote

      Delete
    2. Upungufu wa elimu uliyonao ndo tatizo sikulaumu, naenda darasani kasome unatia gundu TAIFA ewe uto..

      Delete
    3. Naenda shule ww uto nawenzako

      Delete
    4. Acha upimbi lile pira lililopigwa kwa mkapa mngekuwa nyie mikia mngekula mkono bao. Maana mna wazee pale nyuma.

      Delete
  7. Mkwasa anazidi kuharibu CV kwamapenzi ya team kiupumbavu ishinde na anayoifundisha ifungwe wakati hata mpira ulikoendelea makocha hawafantagi hivyo mpira weledi kwanza. *Mpaka ngasa alifanyaga hivyo akiwa Azam kwasababu ya utopolo wake wakamtimua*
    Utopolo Ni laana na nijipu linapaswa kutimbuliwa la sivyo litatutoa aibu kwa laana ya kiazi kimoja "utopolo"

    ReplyDelete
    Replies
    1. Endelea kusotea mchangani wanaume wabapanda ndege. Utopolo wenye akili Kama zako hakika Ni walemavu wa akili. Bingwa wa Tanzania Ni Nani mpaka hivi sasa na umemzidi point ngapi na mechi ngapi. Tafakari kabla ya kuropoka unaongea na mabingwa.

      Delete
    2. Kama kwli we mwanaume mbona ulivishwa khanga na watekaji?

      Delete
    3. Mwanaume anabeba makombe tu, ninani asiyefungwa duniani? Sisi tunachukua makombe tu.

      Delete
  8. Hivi nyie acheni mambo ya yanga kwa wananchi, fuatelieni mamedi na bilioni 20,kaziweka?

    ReplyDelete
  9. Hakika wananchi tunakera watu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unamkera Nani ww utopolo, Nani bingwa watanzania mpma HV sasa, unaropoka tu

      Delete
    2. Jamaa huyu anateseka kweli kweli...pole sana

      Delete
    3. Pole ww usiye nakombe lolote mpaka sasa na unaendelea kusota mchangani na kukipoga Cha ndim na mumeo anapanda ndege kupambana kimataifa, back home utupikie wanaume zako

      Delete
  10. Nguruwe fc mbona Leo mmechachamaa hahahaha tulieni sindano iwangie na bado sasa nyau

    ReplyDelete
  11. Massau Bwire unajifurahisha kwa kujitekenya alafu unacheka mwenyewe. Mpira wa Yanga graff inapanda kila siku. Possession & speed hii ndo yanga tuitakayo.

    ReplyDelete
  12. Kumbe mlimfunga coast kwakuwa viongoz na kocha ni mashabiki wa simba! ni ujinga tu kuona wewe ndio unastahili kushinda ila wengine ni watazamaj ndio maana mliadhibiwa na timu ndogo dharau zitazid kuwa ponza

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic