September 29, 2013





Mshambuliaji nyota wa FC Barcelona, Leo Messi ataikosa mechi ya Jumanne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Celtic.


Hali hiyo inatokana na Messi kuumia katika mechi yao ya La Liga dhidi ya Valladolid.

Uongozi wa Barcelona umesema, huenda Messi akakaa nje kwa wiki mbili au tatu na kitengo cha afya kinalifanyia kazi hilo.

Hivi karibuni, Messi amekuwa akisakamwa na majeraha ya mara kwa mara, hali inayomuondoa katika hali yake ya kawaida iliyozoeleka ya kucheza mechi nyingi zaidi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic