Timu ya taifa
ya soka ya wanawake ya Tanzania imeshinda kwa mabao 10-0 katika mechi ya
kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2013.
Timu hiyo
maarufu kama Tanzanite, imefanikiwa kushinda kwa mabao hay oleo kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar.
Tanzanite
ndiyo walikuwa kiboko katika mchezo huo huku wakiwapa wakati mgumu wageni wao.
Kama wangekuwa
makini, Tanzanite wangeweza kufuzu hata mabao zaidi ya 15 kwa kuwa walimiliki
mchezo wote.
Mashabiki wa
Msumbiji walionekana kuwa na jazba na kuporomosja lawama kwa benchi lao la
ufundi kwamba timu yao ilikuwa nyanya.
Wakati huo,
kinadada wa Msumbiji walionekana wakilia kwa uchungu ikiwa ni kuonyesha
kutokukubaliana na kipigo hicho.
0 COMMENTS:
Post a Comment