October 1, 2013

ROONEY


TERRY

GIGGS..

1. RANGE ROVER SPORT
Ni kati ya magari ya kifahari zaidi duniani, yanatengenezwa nchini Uingereza na yamekuwa yakiwavutia wachezaji wengi wenye fedha. Kati ya wanaomiliki magari ya aina hiyo ni hawa wafuatao;-
Drivers include: Darren Bent (Aston Villa); Jon Obi Mikel, John Terry (both Chelsea); Scott Parker (Fulham); Luis Suarez (Liverpool); Ryan Giggs, Javier Hernandez, Wayne Rooney (all Man United); Jonjo Shelvey (Swansea City); Danny Rose (Tottenham Hotspur) 

Bei: up to £102,900 
Mwendo: 140mph 
Nguvu: 385bhp 

 
CLEVERLEY..

YAYA..


2. PORSCHE CAYENNE
Yanashika nafasi ya pili kwa magari ya kifahari yanayowavutia zaidi wanamichezo na wamekuwa tayari kutoa mamilioni ya fedha kuyanunua. Moja ya sifa yake ni kuzimika kila linaposimama kwenye foleni na ukikanyanga klachi wakati wa kuondoka, linawaka tena. Kati ya wanaomiliki magari ya aina hiyo ni hawa wafuatao;-: Scott Parker (Fulham); Steven Gerrard, Kolo Toure (both Liverpool); Yaya Toure (Man City); Tom Cleverley, Patrice Evra, Robin van Persie, Chris Smalling (all Man United); Younes Kaboul (Tottenham Hotspur); Carlos Cuellar (Sunderland) 
Bei: Up to £90,790 
Mwendo: 173mph 
Nguvu: 550bhp 

RIO



3. AUDI Q7

Ni kati ya magari yaliyonunuliwa kwa wingi sana na wachezaji wengi hasa nchini England na sasa yanashika nafasi ya tatu kwa kupendwa na wachezaji hao. Kati ya wanaomiliki magari ya aina hiyo ni hawa wafuatao;- Kieran Gibbs, Bacary Sagna (both Arsenal); Fernando Torres (Chelsea); Luis Nani, Rio Ferdinand (both Man United); Steven Nzonzi (Stoke City); Phil Bardsley (Sunderland); Mousa Dembele, Emmanuel Adebayor (both Tottenham Hotspur) Chris Brunt (West Brom)
Bei: up to £95,260 
Mwendo: 155mph 
Nguvu: 500bhp 

LAMPARD



4. ASTON MARTIN DB9

Yalianza kufanya vziuri zaidi mwaka 2004 katika soko la magari, yakatangazika zaidi na kuwa kipenzi cha wanasoka wa England na kwingineko duniani. Kati ya wanaomiliki magari ya aina hiyo ni hawa wafuatao;-
: Darren Bent (Aston Villa); Frank Lampard, Juan Mata, Fernando Torres (all Chelsea); Gareth Barry (Everton); Glen Johnson (Liverpool); James Milner (Man City); Peter Crouch, Matthew Etherington (both Stoke City); Jake Livermore (Tottenham Hotspur) 
Bei: Up to £128,653 
Mwendo: 190mph 
Nguvu: 470bhp 

SILVA


5. BENTLEY CONTINENTAL

Miaka mine iliyopita, gari hili lilishika nafasi ya kwanza kwa kuwavutia wachezaji. Lakini limeendelea kubaki katika tano bora ya magari yanayowavutia wachezaji. Kati ya wanaomiliki magari ya aina hiyo ni hawa wafuatao;- Samuel Eto’o, (Chelsea); Glen Johnson, Victor Moses, Martin Skrtel (all Liverpool); Gael Clichy, David Silva (both Man City); Wayne Rooney, Ashley Young (both Man United); Wes Brown (Sunderland); Jermain Defoe (Tottenham Hotspur) 
Bei: Up to £132,150 
Mwendo: 195mph 
Nguvu: 200bhp 

OZIL



7. FERRARI 458

 Gari ya Kiitaliano yenye mvuto zaidi kwa wanamichezo, wachezaji wanaocheza England wanaonekana pia kuwa na wazimu nayo. Mpya iliyotoka 2013, yaani mwaka huu, imekuwa ikinunuliwa kwa kasi zaidi.
Kati ya wanaomiliki magari ya aina hiyo ni hawa wafuatao;-
 Mathieu Flamini, Mesut Ozil, Theo Walcott, Jack Wilshere (all Arsenal); Frank Lampard, John Terry (both Chelsea); Micah Richards (Man City); Nani (Man United) 
Bei: £169,545 
Mwendo: 202mph 
Nguvu: 562bhp 

NANI


8. LAMBORGHINI GALLARDO

Ni kati ya gari za mwanzo kabisa zilizokuwa zinawavutia wanamichezo, lakini imeendelea kubaki kwenye 10 Bora ya Uingereza kati ya gari zinazowavutia zaidi wanasoka. Kati ya wanaomiliki magari ya aina hiyo ni hawa wafuatao;-
Gabriel Agbonlahor (Aston Villa); Ashley Cole (Chelsea); Patrice Evra, Rio Ferdinand, David de Gea, Luis Nani, Wayne Rooney (all Man United); Stephen Ireland (Stoke City) 

Bei: Up to £149,990 
Mwendo: 196mph 
Nguvu: 520bhp 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic