KAZI ILIKUWA KATI YA MSHAMBULIAJI WA SIMBA, AMISSI TAMBWE NA BEKI JUMA NYOSSO WA COASTAL UNION, HAWA WAWILI WALIKUWA KAMA PACHA UWANJANI NA INAONEKANA KOCHA MPYA, JOSEPH LAZARO ALIMPA NYOSSO KAZI YA KUHAKIKISHA MRUNDI HUYO HACHEKI NA NYAVU. MECHI ILIMALIZIKA KWA SARE YA BILA KUFUNGANA.
0 COMMENTS:
Post a Comment