October 12, 2013


 Novak Djokovic amefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Shanghai Rolex Masters baada ya kumchapa Jo-Wilfried Tsonga kwa seti mbili bila majibu.


Katika mechi hiyo ya nudu fainali iliyopigwa jijini Shanghai, mechi ilikuwa na upinzani mkali.

Katika seti ya pili, Tsonga alicharuka zaidi na kusababisha Djokovic kuwa katika wakati mgumu sana.

 Wakati Fulani Djokovic alitaka kukorofishana na mwamuzi akidai alikuwa akimpendelea mpinzani wake.


Djokivic sasa atakutana na mshindi kati ya Del Porto na Rafael Nadal ambao utapigwa leo mchana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic