October 30, 2013


Miss World 2003, Rosanna Davison ameingia mkataba kutangaza katika televisheni ya LFC TV inayomilikiwa na klabu ya Liverpool.



Mwandada huyo mwenye miaka 29, binti wa mwanamuziki Chris de Burgh wa Ireland pia ni mwanamitindo na mtangazaji maarufu nchini Ireland.

Ameingia mkataba huo na Liverpool na utakuwa wa kwanza kwake nje ya nchi yake na sasa analazimika kuhamia jijini Liverpool, England.


Tayari mwandada huyo ameishatengeneza vipindi viwili vya dakika 30 kila kimoja na vitaanza kurushwa hivi karibuni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic