October 30, 2013



Kati ya ‘risasi’ tisa alizopiga Jose Mourinho, kati ya hizo tano zimempata Kocha Mkuu wa Arsenal, Arsene Wenger.


Oh! Usisahau kuwa ishu hapa ni soka na siyo vita, lakini inaonekana Mourinho ndiyo kiboko ya Wenger.

Angalia rekodi hizi, Arsenal chini ya Wenger na Chelsea zimekutana mara tisa, Mreno huyo kashinda mara tano na sare ni nne.

Hakuna mechi ambayo Wenger ameshinda ukijumlisha ile ya jana ambayo Arsenal ilibutuliwa kwa mabao 2-0 katika michuano ya Kombe la Capital One.

 ANGALIA REKODI YAO ...


Dec 12, 2004
Arsenal 2 Chelsea 2
Premier League

Apr 20, 2005
Chelsea 0 Arsenal 0
Premier League

Aug 7 2005
Chelsea 2 Arsenal 1 
Community Shield

Aug 21, 2005
Chelsea 1 Arsenal 0
Premier League

Dec 18, 2005
Arsenal 0 Chelsea 2
Premier League

Dec 12, 2006
Chelsea 1 Arsenal 1
Premier League

Feb 25, 2007
Chelsea 2 Arsenal 1
League Cup Final

May 6, 2007
Arsenal 1 Chelsea 1
Premier League


Oct 29, 2013
Arsenal 0 Chelsea 2
League Cup



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic