October 13, 2013





TP Mazembe imefanikiwa kutwaa Kombe la DR Congo Super Cup kwa kuichakaza MK kwa mabao 7-0.


Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kila mmoja alipachika bao na kuisaidia timu hiyo kutwaa kombe.

Kwa mara ya kwanza, Samatta aliweka rekodi ya kuwa Mtanzania anayecheza ugenini kukabidhiwa kombe baada ya fainali.

Samatta ndiye alikuwa nahodha katika mchezo huo na kukabidhiwa mkononi kombe hilo ambalo aliliinua juu kwa furaha kubwa na kuibua mayowe ya furaha kwa mashabiki we TP Mazembe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic