October 20, 2013

Timu za vijana za Simba na Yanga, zimemaliza dakika 90 kwa kufungana bao 1-1.

Katika mechi hiyo ya utangulizi kwenTimu za vijana za Simba na Yanga, zimemaliza dakika 90 kwa sare hiyo ya bao 1-1.

Katika mechi hiyio ya utangulizi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, Yanga ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao na Simba wakasawazisha dakika tatu kabla ya kwenda mapumziko.

Kipindi cha pili kilikuwa cha kushambuliana kwa zamu, lakini hakuna timu iliyofanikiwa kupata bao, zaidi ya mchezaji mmoja wa Yanga kulambwa kadi nyekundu.

Simba inanolewa na kiungo wa zamani, Selemani Matola na Yanga inanolewa na kiungo wa zamani, Salvatory Edward.

ye Uwanja wa Taifa jijini Dar, Yanga ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao na Simba wakasawazisha dakika tatu kabla ya kwenda mapumziko.
Kipindi cha pili kilikuwa cha kushambuliana kwa zamu, lakini hakuna timu iliyofanikiwa kupata bao, zaidi ya mchezaji mmoja wa Yanga kulambwa kadi nyekundu.

Simba inanolewa na kiungo wa zamani, Selemani Matola na Yanga inanolewa na kiungo wa zamani, Salvatory Edward.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic