October 25, 2013


MKURUGENZI MTANDAJI MKUU WA AZAM MEDIA, RHYS TORRINGTON AKIWAELEZA JAMBO WAANDISHI NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI HASA UPANDE WA MICHEZO KUHUSIANA NA AZAM TV WALIPOTEMBELEA KATIKA OFISI ZA KAMPUNI HIYO LEO MCHANA.
MKUU WA PR, MARYAM EL HAJ, MKUU WA MASOKO WA AZAM TV, SAUMU RAJAB PAMOJA NA MMOJA WA MAOFISA WA TV HIYO, WAKIMSIKILIZA BOSI WAO TORRINGTON  (HAYUPO PICHANI) WAKATI AKIWAELEZA WAANDISHI JAMBO. WAANDISHI HAO WALITEMBELEA MAKAO MAKUU YA AZAM MEDIA LEO KWENYE MAKAO MAKUU YAKE KATIKA ENEO LA TAZARA JIJINI DAR.

JEMBE ANATUPA SWALI KWA TORRINGTON....











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic