Mabao ya Barcelona katika mechi hiyo
yamefungwa na Iniesta, Fabregas, Pedro na Alexis.
Messi alikuwa jukwaani kwa kuwa ni
majeruhi lakini alipewa nafasi ya kuwaonyesha mashabiki kiatu chake cha dhahabu
alichokabidhiwa kutokana na kuwa mfungaji bora msimu uliopita.
0 COMMENTS:
Post a Comment