November 15, 2013



 
DILUNGA (KUSHOTO) AKICHUANA NA AMRI KIEMBA WA SIMBA
Yanga imezidi kwenda kasi katika kuelekea katika dirisha dogo la usajili baada ya kumnasa kiungo nyota wa Ruvu Shooting, Hassan Dilunga.
 
Yanga imefanikiwa kumnasa kiungo huyo kwa mkataba wa miaka mitatu.
 
DILUNGA AKIZOZANA NA JONA WA SIMBA
Dilunga ni kati ya viungo wanaochipukia kwa kasi na wengi wamekuwa wakimfananisha na Mwinyi Kazimoto ambaye sasa anakipiga katika timu ya Al Markhiya ya Oman.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic